MTIBWA SUGAR YAENDELEA KUSAJILI CHIPUKIZI LIGI KUU-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MTIBWA SUGAR YAENDELEA KUSAJILI CHIPUKIZI LIGI KUU-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 MABINGWA wa zamani wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Mtibwa Sugar wameendeleza sera yao ya kusajili wachezaji vijana wadogo kuelekea msimu ujao.


Mtibwa, mabingwa mara mbili mfululizo 1999 na 2000 wamemsajili winga wa kushoto Isaac Kachwele kutoka akademi ya Cambianso ya Temeke Jijini Dar es Salaam.


Wakati Miwa hao wa Manungu pia wamemsajili kiungo George Chotta aliyeibukia akademi ya Moro Kids na kucheza Kitayosce na Mbeya City.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz