MO DEWJI AJIUZULU UENYEKITI SIMBA SC-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MO DEWJI AJIUZULU UENYEKITI SIMBA SC-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BILIONEA mwenye asili ya Kiasia, Mohamed ‘Mo Dewji’ ametangaza kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Simba SC na kubaki mwekezaji pekee kwa umiliki wa asilimia 49 ya hisa zenye thamani ya Sh. Bilioni 20.
Akitangaza uamuzi wake huo leo, Dewji amesema kwamba nafasi yake itashikiliwa na aliyekuwa Makamu wake, Salum Abdallah Muhene ‘Try Again’.
"Muda umefika mimi kama Mohamed, tumefanya mkutano tarehe 21 mwezi wa tisa, 2021 na tumekubaliana kwamba mimi nitajiuzulu kuwa Mwenyekiti wa Simba Sports Club,". "Naomba sana wana Simba msifikirie mimi nimeondoka kwenye Simba, bali bado ni mwekezaji kwenye Simba ni mwana hisa kwenye Simba, naipenda Simba na nitaendelea kuipenda Simba mpaka siku yangu ya mwisho," amesema Dewji leo Dares Salaam.
Hatua hiyo inakuja siku moja tu baada ya timu kulazimishwa sare ya 0-0 na wenyeji, Biashara United katika mchezo wake wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Karume, Musoma mkoani Mara huku Nahodha, John Bocco akikosa penalti dakika ya 90.  
Januari 13 mwaka 2020 Mo pia alitangaza kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya klabu hiyo na kubaki kama mwekezaji mara tu baada ya baada ya mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi uliomalizika kwa Simba SC kufungwa 1-0 na Mtibwa Sugar Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kama ilivyokuwa mwaka jana, Mo Dewji alijiuzulu baada ya Simba SC kufungwa kwenye fainali ya Kombe la Kombe la Mapinduzi na safari hii anang'atuka timu ikitoka kutoa sare na Biashara na kufungwa na taini Yanva 1-0 katia Ngao yaJmii.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz