MESSI, NEYMAR NA MBAPPE LAKINI PSG SARE-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MESSI, NEYMAR NA MBAPPE LAKINI PSG SARE-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
LICHA ya kuongozwa na nyota watatu wakubwa duniani, Lionel Messi, Kylian Mbappe na Neymar, lakini Paris Saint-Germain iliambulia sare ya 1-1 na wenyeji, Club Bruges katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Jan Breydel Jijini Brugge, Ubelgiji.
Lionel Messi, Kylian Mbappe na Neymar hakuna yao aliyefunga na PSG ilitangulia kwa bao la kiungo Mspaniola, Ander Herrera dakika ya 15, kabla ya kiungo Mbelgiji, Hans Vanaken kuisawazishia Club Bruges dakika ya 27.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz