MECHI YA BRAZIL NA ARGENTINA YAVUNJIKA SAO PAULO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MECHI YA BRAZIL NA ARGENTINA YAVUNJIKA SAO PAULO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MECHI ya kufuzu Kombe la Dunia kwa Amerika Kusini baina ya wapinzani wakubwa, Brazil na Argentina ilivunjika jana baada ya dakika saba tu Jijini Sao Paulo kufuatia wachezaji watatu wa Argentina wanaocheza England kukiuka taratibu za kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona.
Hao ni kipa Emiliano MartΓ­nez na winga Emiliano BuendΓ­a wa Aston Villa, beki wa kati Cristian Romero na kiungo Giovani Lo Celso wa Tottenham Hotspur na sasa mchezo utapangiwa siku nyingine.
Brazil inaongoza mbio za kwenda Qatar mwakani kwa Amerika Kusini ikiwa na pointi 21, sita zaidi ya Argentina yenye poijnti 15 baada ya mechi saba.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz