Masau Bwire Avaa Nembo ya Simba-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Masau Bwire Avaa Nembo ya Simba-Michezoni leo

OFISA Habari wa Timu ya Ruvu Shooting, Masau Bwire ambaye anatajwa kuibukia mitaa ya Msimbazi kuwa mrithi wa mikoba ya Haji Manara ambaye kwa sasa anaitumikia Yanga kama Ofisa Habari.

 

Hivi karibuni ziliibuka tetesi kwamba Masau ameshamalizana na Simba na ni suala la muda kwake kutangazwa kuwa mali ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes pamoja na Seleman Matola ambaye ni msaidizi sawa na Hitimana Thiery ambaye ametambulishwa hivi karibuni.

 

Kwenye shughuli ya kumuaga Hanspoppe Zacharia, leo ukumbi wa Karimjee, Masau alivaa barakoa yenye nembo ya Simba jambo ambalo limeongeza maswali na pia kuna picha ambayo inasambaa ikimuonyesha akiwa na Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez.

 

Akizungumzia suala hilo Masau amesema:”Nimekuja kwenye shughuli ya Simba na nilikuwa na barakoa yangu ila viongozi wa Simba walinifuata na kunipa barakoa.

 

“Mimi ninanidhamu na kila mmoja huwa ninamheshimu hivyo kwa kuwa wenye shughuli wameandaa utaratibu basi nikaamua kutoa barakoa yangu na kuvaa barakoa ya Simba,”amesema Masau.

 

Simba inatarajia kufanya utambulisho wa wachezaji wake pamoja na uzi mpya kwa msimu wa 2021/22 Septemba 19, Uwanja wa Mkapa.

 

The post Masau Bwire Avaa Nembo ya Simba appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz