MAN CITY YASHINDA 6-1 CARABAO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MAN CITY YASHINDA 6-1 CARABAO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
WENYEJI, Manchester City wamepata ushindi mnono wa 6-1 dhidi ya Wycombe Wanderers katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup usiku wa Jumanne Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.
Brandon Alex Graham Hanlan alianza kuifungia Wycombe Wanderers dakika ya 22, kabla ya Man City kutokea nyuma kwa mabao ya Kevin De Bruyne dakika ya 29, Riyad Mahrez mawili dakika ya 43 na 83, Philip Foden dakika ya 45 na ushei, Ferran Torres dakika ya 71 na Cole Palmer dakika ya 88.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz