MAN CITY YAICHAPA CHELSEA DARAJANI -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MAN CITY YAICHAPA CHELSEA DARAJANI -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 BAO pekee la Gabriel Jesus dakika ya 53 akimalizia pasi ya João Cancelo limewapa Manchester City ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Chelsea leo Uwanja Stamford Bridge Jijini London.
Kwa ushindi huo, Man City inapanda  nafasi ya pili, nyuma ya Liverpool na juu ya Chelsea na Manchester United kwa wastani wa mabao wote wakiwa na pointi 13 baada ya mechi sita.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz