MAKOCHA SIMBA KATIKA MAJADILIANO ARUSHA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MAKOCHA SIMBA KATIKA MAJADILIANO ARUSHA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MAKOCHA wa Simba SC, Mfaransa Didier Gomes Da Rosa (kushoto) na wasaidizi wake, Mnyarwanda Thierry Hitimana (kulia) na mzawa, Suleiman Matola (katika) wakijadiliana mambo katika mazoezi ya timu hiyo kwenye kambi ya Arusha.
Simba SC inajiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika tamasha lake la kila mwaka la kutambulisha kikosi cha msimu mpya, SIMBA Day litakalofanyika Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz