LUKAKU AFUNGA KATIKA MECHI YA 100 UBELGIJI -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

LUKAKU AFUNGA KATIKA MECHI YA 100 UBELGIJI -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MSHAMBULIAJI Romelu Lukaku jana amefunga bao la kwanza dakika ya nane akiichezea Ubelgiji kwa mara ya 100 ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Jamhuri Czech.
Katika mchezo wa Kundi E kufuzu kombe la Dunia Uwanja wa Roi Baudouin Jijini Brussels, mabao mengine ya Ubelgiji yalifungwa na nyota wa Real Madrid, Eden Hazard dakika ya 41 na mtokea benchi Alexis Saelemaekers 56, tena akimalizia pasi ya Lukaku.
Kwa matokeo hayo, Ubelgiji inafikisha pointi 13 na kuendelea kuongoza Kundi E kwa pointi sita zaidi ya Czech, wakifuatiwa na Wales yenye pointi sita, Belarus pointi tatu na Estonia ambayo haina pointi.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz