LIVERPOOL YAWACHAPA NORWICH CITY 3-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

LIVERPOOL YAWACHAPA NORWICH CITY 3-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Japan, Takumi Minamino usiku wa Jumanne amefunga mabao mawili kuiwezesha Liverpool kuwa hapa wenyeji, Norwich City 3-0 katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup Uwanja wa Carrow Road Jijini Norwich, Norfolk.
Minamino alifunga mabao hayo dakika ya 14 na 80, wakati bao lingine la Wekundu hao wa Andield lilifungwa na mshambuliaji Mbelgiji mwenye asili ya Kenya, Divock Okoth Origi dakika ya 50.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz