LIVERPOOL YAICHAPA PORTO 5-1 URENO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

LIVERPOOL YAICHAPA PORTO 5-1 URENO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, FC Porto jana wamechapwa mabao 5-1 na Liverpool katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Do DragΓ£o Jijini Porto, Ureno.
Mabao ya Liverpool yalifungwa na Mohamed Salah mawili, dakika ya 18 na 60, Sasio ManΓ© dakika ya 45 na Roberto Firmino mawili pia, dakika ya 77 na 81, wakati la Porto lilifungwa na M. Taremi dakika ya 74.
Ushindi huo unaifanya Liverpool ifikishe pointi sita na kuendelea kuongoza kundi mbele ya Atletico Madrid yenye pointi nne, wakati Porto inabaki na pointi yake moja katika nafasi ya tatu mbele ya AC Milan ambayo haina pointi.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz