Live: Simba Kuzindua Jezi Jumamosi Septemba 4-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Live: Simba Kuzindua Jezi Jumamosi Septemba 4-Michezoni leo

MKUU wa kitengo cha habari na mawasiliano Simba, Ezekiel Kamwaga leo Septemba 1, 2021 akiongea na wanahabari katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam amesema timu yake inakwenda kuzindua jezi za aina yake kupitia kwa muwekezaji wao Mkurugenzi wa kampuni ya Vunja Bei, Fred.

“Tuko hapa kuzungumza kuhusu jezi zetu mpya ambazo zitatolewa na mzabuni wetu mpya kampuni ya Vunja Bei.”-amesema Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano, Ezekiel Kamwaga

“Uzinduzi wa jezi za Simba tutafanya Jumamosi Septemba 4, 2021 saa 1:00 usiku kwenye hoteli ya Hyatt Regency. Litakuwa tukio ambalo litahusisha wadau mbalimbali, pia tutakuwa live kupitia Azam TV.”

“Jambo moja naweza kusema ni jezi nzuri sana. Tutakuwa na jezi za aina tofauti sana kulinganisha na timu zingine za ndani. Baada ya uzinduzi jezi zitakuwepo kwenye maduka ya Vunja Bei na tutauza masaa 24.” amesema Mkurugenzi wa kampuni ya Vunja Bei, Fred

The post Live: Simba Kuzindua Jezi Jumamosi Septemba 4 appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz