Live: Kikosi cha Simba Chatua Dar Kuwavaa Mazembe-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Live: Kikosi cha Simba Chatua Dar Kuwavaa Mazembe-Michezoni leo

Kikosi cha Simba SC kimewasili Jijini Dar es Salaam kutoka mkoani Arusha walikuwa wameweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi.

Simba itashuka dimbani siku ya Jumapili kwa kuvaana na TP Mazembe katika mchezo wa kirafiki katika tamasha la #SimbaDay2021 kesho Jumapili, Septemba 19, 2021 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

The post Live: Kikosi cha Simba Chatua Dar Kuwavaa Mazembe appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz