LEWANDOWSKI APIGA MBILI, BAYERN YASHINDA 5-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

LEWANDOWSKI APIGA MBILI, BAYERN YASHINDA 5-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Bayern Munich wameibuka na ushindi wa 5-0 dhidi ya Dynamo Kyiv katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich, Ujerumani.
Mabao ya Bayern Munich jana yalifungwa na Robert Lewandowski mawili, dakika ya 12 na 27 akimalizia pasi ya Thomas MΓΌller, Serge Gnabry dakika ya 68, Leroy SanΓ© dakika ya 74 na Erick Choupo-Moting dakika ya 87.
Ushindi huo unawafanya Bayern Munich waendelee kuongoza Kundi E wakifikisha pointi sita, mbele ya Benfica wenye pointi nne, Dinamo Kiev pointi moja na Barcelona ambayo haina pointi.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz