Kiungo Azam Afuzu kukipiga Liverpool-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kiungo Azam Afuzu kukipiga Liverpool-Michezoni leo

KIUNGO kinda wa Azam FC, Khelffin Hamdoun, amefanikiwa kufuzu majaribio katika timu ya vijana ya Liverpool.

Hamdoun alienda mjini Liverpool, England mwezi uliopita ambapo alifanya majaribio na kufanikiwa kufaulu lakini ilishindikana kuingizwa kwenye usajili kutokana na dirisha kufungwa.

Kwa sasa bado yuko Liverpool na muda wowote kuanzia sasa anatarajia kurejea Bongo kujiunga na Azam.

Akizu

ngumza na Championi Jumatano, Ofisa Habari wa Azam FC, Thabiti Zakaria, amesema kuwa: “Ni kweli Khelffin yupo Liverpool kwa ajili ya majaribio, ameweza kupita lakini shida imekuja usajili wa Liverpool umeshafungwa.

“Atarejea nyumbani mpaka usajili wa dirisha dogo utakapofunguliwa, Inshaallah ataenda tena.”

CAREEN OSCAR, Dar es Salaam

The post Kiungo Azam Afuzu kukipiga Liverpool appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz