Kigogo Simba Amtabiria Makubwa Inonga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kigogo Simba Amtabiria Makubwa Inonga-Michezoni leo

MJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Crescentius Magori amefunguka kuwa hana mashaka na uwezo wa beki mpya wa klabu hiyo, Henock Inonga ambapo amemtabiria makubwa ndani ya kikosi hicho kwenye Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa.


Baka amejiunga na Simba
msimu huu, akitokea DC Motema Pembe, ambapo beki huyo raia wa DR Congo amesaini mkataba wa miaka miwili kukitumikia kikosi cha Simba, beki huyo pia anamudu kucheza nafasi ya kiungo mkabaji. Akizungumzia ishu hiyo, Magori alifunguka:

 

“Usajili ambao umefanyika msimu huu kwa kiasi kikubwa umezingatia mahitaji ya benchi la ufundi, wachezaji wengi ambao tumewasajili umri wao ni mdogo hivyo ni faida kubwa kwenye kikosi chetu kwa misimu mingi.

“Miongoni mwa wachezaji ambao tumewasajili ni beki Henock Inonga ambaye tumemtoa DC Motema Pembe, sina shaka juu ya uwezo wake na nina imani atafanya makubwa ndani ya kikosi cha Simba msimu huu.”

 

Kikosi cha Simba tayari kimeshawasili nchini baada ya kuweka kambi ya wiki mbili nchini Morocco kujiandaa na msimu mpya wa mashindano kwenye Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa ambayo Simba wataanzia hatua ya pili ya michuano hiyo.

Stori: Hussein Msoleka,Dar es Salaam


The post Kigogo Simba Amtabiria Makubwa Inonga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz