Khalid Aucho Kimeeleweka CAF-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Khalid Aucho Kimeeleweka CAF-Michezoni leo

BAADA ya sintofahamu kuhusu usajili wa kiungo Khalid Aucho, uongozi wa Yanga umesema kuwa ushakamilisha kila kitu juu ya kiungo huyo na utamtumia katika michezo yote ya ligi kuu na Ligi ya Mabingwa Afrika inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).


Awali kiungo huyo ambaye
yupo kwao akiitumikia timu ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’ ilielezwa asingeweza kucheza michuano ya kimataifa kutokana na kibali chake cha uhamisho wa kimataifa (ITC) kushindwa kutolewa na timu yake ya El Macasa ya Misri.

 

Akizungumza na Championi Jumamosi, Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Frederic Mwakalebela alisema kuwa tayari klabu hiyo ishakamilisha masuala yote ya yanayohusu vibali vya kazi vya mchezaji huyo hivyo atatumika katika michuano yote ambayo Yanga itashiriki mwanzoni mwa msimu.

 

Aucho ni mali halali ya Yanga, tayari kama timu tulishakamilisha kila kitu ambacho kinahusu vibali vyake vya kufanyia kazi ndani ya Yanga na nchini, hivyo atatumika katika michezo yote ambayo Yanga itashiriki mwanzoni mwa msimu ujao ikiwemo Ligi Kuu, FA, Ngao ya Jamii na Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

“Aucho tulikuwa naye kule Morocco na kilichomuondoa kule ni majukumu ya kimataifa ya taifa lake la Uganda ambalo linashiriki michuano ya kufuzu kucheza Kombe la Dunia na akimaliza majukumu yake basi atarejea nchini kujiunga na Yanga tayari kwa majukumu,” alisema kiongozi huyo.

LEEN ESSAU, Dar es Salaam

The post Khalid Aucho Kimeeleweka CAF appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz