KAZE, ZAHERA WAREJESHWA YANGA SC-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

KAZE, ZAHERA WAREJESHWA YANGA SC-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

UONGOZI wa klabu ya Yanga umemrejesha Mrundi, Cedric Kaze kuwa Kocha Msaidizi ws klabu hiyo chini ya Mtunisia, Nasreddine Nabi.
Kazi alikuwa Kocha Mkuu wa Yanga msimu uliopita na akafukuzea kwa matokeo mabaya kabla ya ujio wa Nabi.


Aidha, Yanga pia imerejesha Mkongo, Mwinyi Zahera kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo Soka la Vijana baada ya awali kuwa Kocha Mkuu wa klabu mwaka juzi kabla ya kufukuzwa pia kwa matokeo yasiyoridhisha.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz