JUVENTUS YAICHAPA CHELSEA 1-0 TORINO -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

JUVENTUS YAICHAPA CHELSEA 1-0 TORINO -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI Juventus jana wameutumia vizuri Uwanja wa nyumbani, Allianz Jijini Torino baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea katika mchezo wa Kundi  H bao pekee la Federico Chiesa dakika ya 46.
Ushindi huo unawapandisha kileleni Juve wakifikisha pointi sita,     wakati  Chelsea inabaki na pointi zake tatu sawa na Zenit, huku MalmΓΆ ambayo haina pointi ikiwa inashika mkia.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz