Gomes Awapa Mbinu Sakho, Mugalu Kuwamaliza Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Gomes Awapa Mbinu Sakho, Mugalu Kuwamaliza Yanga-Michezoni leo

UNAAMBIWA huko mazoezini kwa Simba, Kocha Mkuu, Didier Gomes, kila kukicha anawapa mbinu mpya wachezaji wake, Chris Mugalu, Duncan Nyoni na Pape Ousmane Sakho kwa ajili ya kuwaua Yanga kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii utakaochezwa Septemba 19, mwaka huu, Uwanja wa Mkapa, Dar.

 

Simba iliyoweka kambi Arusha, ikiwa huko imecheza michezo mitatu ya kirafiki ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2021/22, Simba imefanikiwa kushinda michezo miwili dhidi ya Fountain Gate (1-0) na Aigle Noir ya Burundi (2-1), huku ikishindwa kufungana na Coastal Union.

 

Taarifa kutoka ndani ya kambi ya Simba, zinasema kwamba, Gomes amefanikiwa kutengeneza safu mbili tofauti za mauaji kuelekea mchezo dhidi ya Yanga, ambapo tayari amemuingiza kikosini kiungo, Duncan Nyoni ili acheze karibu na Chris Mugalu.

 

“Kocha amelazimika kumuondoa pembeni Nyoni na kumsogeza karibu na Mugalu, ikiwa ni mbinu sahihi kabisa ya maandalizi yake kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga.

 

“Pamoja na Gomes kuwaanda viungo Rally Bwalya na Sadio KanoutΓ©, pia kuna pacha nyingine ya Mugalu, Nyoni na Sakho, ambayo itakuwa maalumu kabisa kwa ajili ya kufanya mauaji mbele ya Yanga,” kilisema chanzo kutoka kambini Simba.

MUSA MATEJA NA LEEN ESSAU, Dar es Salaam

The post Gomes Awapa Mbinu Sakho, Mugalu Kuwamaliza Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz