GNABRI APIGA MBILI UJERUMANI YASHINDA 6-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

GNABRI APIGA MBILI UJERUMANI YASHINDA 6-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
UJERUMANI jana imeibuka na ushindi wa 6-0 dhidi ya Armenia katika mchezo wa Kundi J kufuzu Kombe la Dunia kwa Ulaya Uwanja wa Mercedes-Benz-Arena Jijini Stuttgart.
Mabao ya Ujerumani yamefungwa na Serge Gnabry mawili dakika ya sita na 15, Marco Reus dakika ya 35, Timo Werner dakika ya 45, Jonas Hofmann dakika ya 52 na Karim Adeyemi dakika ya 90 na ushei.
Sasa Ujerumani inafikisha pointi 12 na kuendelea kuongoza kundi hilo kwa pointi mbili zaidi ya Armenia, wakati, Romania ni ya tatu kwa pointi zake tisa ikifuatiwa na Macedonia Kaskazini pointi nane, Iceland pointi nne na Liechtenstein haina pointi.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz