Feisal Ala Shavu Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Feisal Ala Shavu Yanga-Michezoni leo

KOCHA mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amefunguka kuwa hana mpango wa kumhamisha Feisal Salum katika eneo la kiungo mshambuliaji kutokana na kufanya vizuri zaidi katika eneo hilo.


Feisal kabla ya kucheza katika eneo
hilo alikuwa anacheza katika eneo la kiungo wa ulinzi akiwa sambamba na Mukoko Tonombe.

 

Akizungumza na Championi Ijumaa, Nabi aliweka wazi kuwa anafurahishwa na uwezo anauonyesha Feisal katika eneo la kiungo mshambuliaji hivyo wategemee wakimuona kiungo huyo akicheza mara kwa mara katika eneo hilo.

 

“Feisal anafanya vizuri katika majukumu yake mapya ya kushambulia, watu watamuona sana akicheza katika eneo hilo, nadhani wengi wameona na hakuna shaka na anachokifanya kwa sasa katika sehemu anayocheza.

 

“Feisal nilimkuta akicheza katika eneo la ulinzi lakini kwangu niliona anafaa kucheza katika majukumu ya kushambulia zaidi.

 

“Hii sio mara ya kwanza kutokea katika maisha ya mpira haswa katika majukumu kubadilika kwa mchezaji, mifumo ya mwalimu hubadilisha wachezaji,” alisema kocha huyo.

STORI: MARCO MZUMBE, Dar es Salaam

The post Feisal Ala Shavu Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz