ENGLAND YAICHAPA HUNGARY 4-0 KOMBE LA DUNIA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

ENGLAND YAICHAPA HUNGARY 4-0 KOMBE LA DUNIA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya taifa ya England imejiweka katika nafasi nzuri kwenye kuwania tiketi ya Kombe la Dunia mwakani baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Hungary katika mchezo wa Kundi I jana Uwanja wa PuskΓ‘s ArΓ©na Jijini Budapest.
Mabao ya Three Lions jana yalifungwa na mshambuliaji wa Manchester City Raheem Sterling dakika ya 55, Harry Kane wa Tottenham Hotspur dakika ya 63, beki wa Manchester Unitedm Harry Maguire dakika ya 69 na  na kiungo wa West Ham United Declan Rice dakika ya 87.
Kwa ushindi huo, England inafikisha ponti 12 na kuendeela kuongoza kundi mbele ya , Poland na Hungaru zenye pointi saba kila moja, Albania pointi sita, Andorra tatu wakatiSan Marino haina pointi baada ya mechi nne.

Europe - WC Qualification Europe

FT
Georgia 0 - 1 Kosovo View events
FT
Sweden 2 - 1 Spain View events
FT
Italy 1 - 1 Bulgaria View events
FT
Lithuania 1 - 4 Northern Ireland View events
FT
Czech Republic 1 - 0 Belarus View events
FT
Estonia 2 - 5 Belgium View events
FT
Andorra 2 - 0 San Marino View events
FT
Hungary 0 - 4 England View events
FT
Poland 4 - 1 Albania View events
FT
Iceland 0 - 2 Romania View events
FT
Liechtenstein 0 - 2 Germany View events
FT
North Macedonia 0 - 0 Armenia


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz