Djuma: Simba Wagumu Ila Tutawachapa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Djuma: Simba Wagumu Ila Tutawachapa-Michezoni leo

BEKI mpya kisiki wa Yanga, Mkongomani Djuma Shaban, amefunguka na kueleza kuwa mechi yao na Simba itakuwa ngumu lakini wamejipanga kushinda mechi hiyo.

Kwa mara ya kwanza Djuma ataitumikia Yanga kwenye mechi hiyo ya dabi wakisaka taji la Ngao ya Jamii itakayopigwa katika Uwanja wa Mkapa, Dar.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Djuma amesema kuwa: “Najua utakuwa ni mchezo mgumu sana kwetu ila tumejipanga na tupo makini sana kuweza kushinda mchezo huo kwani ni muhimu sana kwetu. Itakuwa dabi yangu ya kwanza na nina imani itakuwa nzuri kwa upande wetu.”

CAREEN OSCAR, Dar es Salaam

The post Djuma: Simba Wagumu Ila Tutawachapa appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz