Diarra ‘Screen Protector’ Afunguka Siri ya Kumfunika Manula-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Diarra ‘Screen Protector’ Afunguka Siri ya Kumfunika Manula-Michezoni leo

MLINDA mlango wa Yanga raia wa Mali, Djigui Diarra ‘Screen Protector’ amefunguka kuwa siri kubwa ya ubora wake katika mchezo wa Jumamosi dhidi ya Simba, ni kufuata maelekezo ya makocha wake, pamoja na muunganiko mzuri wa safu yao ya ulinzi.

 

Diarra ni miongoni mwa nyota ambao walikuwa kwenye kiwango kikubwa Jumamosi na kuisaidia Yanga kushinda taji la Ngao ya Jamii kwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba, kwenye mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.

 

Katika mchezo wa Jumamosi, Diara alikuwa katika kiwango kikubwa ambapo alifanikiwa kuokoa mashuti matatu ya hatari yaliyolenga lango kati ya mashuti yote 15 ambayo yalipigwa na Simba katika mchezo huo.

 

Akizungumza na Championi Jumatatu, Diara alisema: “Kwanza kabisa nashukuru sana kumaliza mechi salama na kufanikiwa kushinda taji la Ngao ya Jamii tena dhidi ya Simba, ulikuwa mchezo mzuri na ambao kila mmoja alipambana kwa jasho na damu kwa ajili ya timu.

 

“Kuhusiana na kiwango changu naweza kusema siri kubwa ni kujituma mazoezini kufuata maelekezo ya mwalimu, na kushirikiana na wenzangu hasa wa safu ya ulinzi.”

JOEL THOMAS, Dar es Salaam

The post Diarra ‘Screen Protector’ Afunguka Siri ya Kumfunika Manula appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz