CHELSEA YAFUZU KWA MATUTA DARAJANI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CHELSEA YAFUZU KWA MATUTA DARAJANI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TIMU ya Chelsea imetinga Raundi ya Nne ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa penalti 4-3 kufuatia sare ya 1-1 na Aston Villa Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
Reece James ndiye aliyeifungia mkwaju wa penalti ya ushindi The Blues baada ya Chelsea kutangulia  kwa bao la Timo Werner dakika ya 54, kabla ya Cameron Archer kuisawazishia Aston Villa dakika ya  64.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz