Cavani Amuachia Jezi Ronaldo-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Cavani Amuachia Jezi Ronaldo-Michezoni leo

Klabu ya Manchester United imemkabidhi rasmi jezi namba 7 kwa Cristiano Ronaldo ambaye amesajiliwa hivi karibuni.

Namba 7 ilikuwa inavaliwa na mshambuliaji Edison Cavani ambaye amepewa namba 21 ambayo awali ilikuwa inavaliwa na Daniel James ambaye ameuzwa kwenda Leeds United.

Ronaldo amemshukuru Cavani kwa kukubali kumpa jezi hiyo ambayo ina historia kubwa kwa mchezaji huyo.

‘Sikutarajia kuwa itawezekana kuvaa tena namba 7, Namshukuru sana Cavani kwa ukaribisho huu murua”

The post Cavani Amuachia Jezi Ronaldo appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz