Bondia Mwakinyo Apanda Ubora Duniani-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Bondia Mwakinyo Apanda Ubora Duniani-Michezoni leo

BONDIA Mtanzania Hythani Hamza Halfan ama maarufu kama Hassan Mwakinyo wa uzito wa Super Welter amepanda kutoka nafasi ya 24 hadi nafasi ya 13 katika viwango vya ubora duniani huku akiwa namba moja Afrika.

Mwakinyo anashikilia ubingwa wa Afrika (ABU) kwa uzito wa super welter. Mwishoni mwa juma alitetea ubingwa wake kwa kumpiga Julius Indongo kutoka Namibia.

Alhamdulillah, Tumepanda tena. Nimepanda hadi nafasi ya 13 kwenye viwango vya ubora duniani kutoka nafasi ya 24. Na Nimeendelea kuwa Bingwa wa ABU na Bondia namba 1 Africa,’’ aliandika Mwakinyo katika ukurasa wake wa Twitter.

Hassan Mwakinyo alijitosa katika ulingo wa ngumi za kulipwa tangu mwaka 2015, na amewahi kushikilia mikanda kadhaa ya ubingwa ikiwemo ubingwa wa WBA pan African.

The post Bondia Mwakinyo Apanda Ubora Duniani appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz