BIASHARA WAENDA DJIBOUTI, MECHI LEO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

BIASHARA WAENDA DJIBOUTI, MECHI LEO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Biashara United ya Mara imeondoka jana Jijini Dar es Salaam kwenda Djibouti kwa ajili ya mchezo wao wa kwanza wa Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, FC Dikhil. 
Mechi hiyo inachezwa leo jioni Uwanja wa El Hadj Hassan Gouled Jijini Ville de Djibouti kabla ya timu hizo kurudiana Septemba 18 hapa nchini.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz