BARCELONA YAPIGWA TENA LIGI YA MABINGWA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

BARCELONA YAPIGWA TENA LIGI YA MABINGWA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Benfica wamewatandika Barcelona mabao 3-0 katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Luz Jijini Lisbon, Ureno.
Mabao ya Benfica jana yamefungwa na Darwin NΓΊΓ±ez dakika ya tatu na 79  kwa penalti na Rafa Silva dakika ya 69 na kwa kipigo hicho cha pili mfululizo, Barcelona inashika mkia nyuma ya Dinamo Kiev yenye pointi moja.
Bayern Munich wanaongoza sasa kwa pointi zao sita, wakifuatiwa na Benfica yenye pointi nne.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz