Barbara: Msimu Mpya Mambo mapya-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Barbara: Msimu Mpya Mambo mapya-Michezoni leo

BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Simba, ameweka wazi kuwa wanakwenda kuanza msimu mpya wa 2021/22 kwa mambo mapya jambo ambalo litakuwa ni rekodi kwa timu hiyo.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Barbara alisema kuwa wanatambua juu ya umuhimu wa mechi zao za ligi pamoja na mipango iliyopo, hivyo watakuwa tofauti katika kila jambo.

 

“Nadhani ni msimu mpya, hapo sisi tunapaswa kuwa na mambo mapya, kwetu kila kitu ni kipya, kuanzia mbinu, wachezaji wetu nao wana mipango mipya.

 

“Jambo la msingi kwa sasa ni mashabiki kuendelea kuwa nasi bega kwa bega kwani Simba ni timu kubwa, hivyo inahitaji kuwa na matokeo makubwa pia katika yale ambayo yanafanyika,” alisema Barbara.

 

The post Barbara: Msimu Mpya Mambo mapya appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz