BALOZI NIGERIA ‘AWAPA MOYO’ YANGA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

BALOZI NIGERIA ‘AWAPA MOYO’ YANGA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BALOZI wa Tanzania nchini Nigeria, DK. Benson Bana akizungumza na kocha wa Yanga SC, Mtunisia Nasreddine Nabi leo Jijini Port Harcourt alipoitembelea timu hiyo kuelekea mechi ya marudiano Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Rivers United kesho Uwanja wa Adokiye Amiesimaka Jijini humo.

Nahodha wa Yanga SC, Bakari Nondo Mwamnyeto akizungumza kwa niaba ya wachezaji kufuatia hotuba ya Balozi Dk. Benson Bana.


Yanga SC wanatakiwa kushinda angalau 2-0 ili kusonga mbele baada ya kuchapwa 1-0 Jumapili iliyopita katika mchezo wa kwanza Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.Kama Yanga wataweza na wao kushinda 1-0 ugenini, mchezo utaamuliwa kwa changamoto ya mikwaju ya penalti.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz