AZAM YASAJILI BEKI MCAMEROON ALIKUWA ANACHEZA ZAMBIA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

AZAM YASAJILI BEKI MCAMEROON ALIKUWA ANACHEZA ZAMBIA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
KLABU ya Azam FC imemsajili wa beki wa kati Mcameroon, Yvan Lionnel Mballa, kwa mkataba wa mwaka mmoja kutoka Forest Rangers ya Zambia.
Mballa anahitimisha zoezi letu la usajili kwenye dirisha hili, akikamilisha idadi ya wachezaji wapya nane tuliowasajili.
Wengine wapya waliosajiliwa Azam FC iliyopo kambini Jijini Ndola nchini Zambia kujiandaa na msimu mpya ni viungo, Mkenya Kenneth Muguna, Wazambia Paul Katema, Charles Zulu na washambuliaji Rodgers Kola na Mkongo Idris Mbombo.
Azam FC pia imesajili wazawa wawili wapya, kipa Ahmed Ali Suleiman 'Salula' kutoka KMKM ya Zanzibar na beki, Edward Charles Manyama kutoka Ruvu Shooting ya Pwani.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz