AZAM FC YAICHAPA HORSEED 3-1 CHAMAZI -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AZAM FC YAICHAPA HORSEED 3-1 CHAMAZI -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Horseed ya Somalia katika mchezo wa kwanza Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Horseed waliwashitua wenyeji kwa bao la Ibrahim Nor dakika ya 22, kabla ya Azam FC kuzinduka kwa mabao ya Ayoub Lyanga dakika ya 32, Mkongo Idris Mbombo dakika ya 73 na Lusajo Mwaikenda dakika ya 78.
Timu hizo zitarudiana Septemba 18 hapo hapo Azam Complex na mshindi wa jumla atakutana na Pyramids ya Misri.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz