AUBAMEYANG AING’ARISHA ARSENAL ENGLAND-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AUBAMEYANG AING’ARISHA ARSENAL ENGLAND-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 BAO pekee la mshambuliaji wa kimataifa wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 66 jana limetosha kuipa Arsenal FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Norwich City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa  Emirates Jijini London – huo ukiwa ushindi wa kwanza baada ya The Gunners kupoteza mechi tatu za awali (0-2 Brentford, 0-2 Chelsea, 0-5 Manchester City).


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz