ARSENAL YANG’ARA KOMBE LA LIGI ENGLAND-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

ARSENAL YANG’ARA KOMBE LA LIGI ENGLAND-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya Arsenal imetinga Raundi ya Nne ya michuano ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya AFC Wimbledon usiku huu Uwanja wa Emirates Jijini London.
Mabao ya Arsenal yamefungwa na Alexandre Lacazette kwa penalti dakika ya 11, Emile Smith Rowe dakika ya 77 na Eddie Nketiah dakika ya 80.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz