AJAX YASHINDA 9-0 LIGI YA UHOLANZI -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AJAX YASHINDA 9-0 LIGI YA UHOLANZI -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TIMU ya Ajax jana ilipaa kileleni mwa Eredivisie baada ya ushindi wa nyumbani wa 9-0 dhidi ya SC Cambuur - David Neres akifunga mabao mawili, mengone Jurrien Timber, Steven Berghuis, Noussair Mazraoui, Dusan Tadic, Mohammed Daramy, Sebastien Haller na Danilo.
Kwa matokeo hayo, Ajax inaongoza ligi kwa pointi moja Zaidi ya PSV Eindhoven, ambao hata hivyo wan a mechi moja mkononi.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz