Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
KLABU ya soka ya Simba SC imeingia mkataba wa miaka minne wa udhamini wa usafiri wa ardhini na kampuni ya Africariers Limited utakaoiwezesha klabu hiyo kupewa mabasi matatu ya kusafirisha timu za wakubwa, wanawake na vijana.
Pia kampuni hiyo ya Africariers inakuwa mdhamini mkuu wa timu ya vijana ya Simba SC ya chini ya miaka 17.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>
Join Our Telegram Channel for Daily Updates
CLICK HERE
No comments:
Post a Comment