Yanga Yavunja Kambi Morocco, Wakutana na Simba Airport-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga Yavunja Kambi Morocco, Wakutana na Simba Airport-Michezoni leo

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesitisha ratiba ya kambi yao ya nchini Morocco na kutangaza rasmi kurejea jijini Dar es Salaam kumalizia maandalizi yao kwa ajili ya msimu ujao.

Uamuzi huo umetangazwa na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM ambao ni wadhamini wa Yanga, Eng. Hersi Said na kusema kuna sababu mbalimbali zilizowapelekea klabu hiyo kufanya maamuzi hayo magumu.

Aidha, Eng. Hersi amesema kumeguka kwa baadhi ya wachezaji wao ambao wanatakiwa kujiunga na timu za taifa ndio sababu ya kwanza ambapo jumla ya wachezaji wao nane kuitwa katika timu zao za taifa.

Kwa upande mwingine, baadhi ya wachezaji wa Simba na Yanga wamekutana katika Uwanja wa ndege nchini Morocco kwa ajili ya safari ya kurejea Dar es Salaam. Hata hivyo, Klabu ya Simba bado haijatoa taarifa yoyote kuhusu iwapo wamevunjwa kambi yao ama wameruhusu baadhi ya wachezaji kwenda kujiunga na timu zao za taifa.

The post Yanga Yavunja Kambi Morocco, Wakutana na Simba Airport appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz