Yanga yataja Alipo Mukoko-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Yanga yataja Alipo Mukoko-Michezoni leo

BAADA ya kuzagaa taarifa za kiungo mkabaji wa Yanga, Mkongomani, Mukoko Tonombe hayupo na kikosi hicho kambini nchini Morocco, Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Frederick Mwakalebela, ameibuka na kutaja alipo kiungo huyo.

 

Yanga ikiwa kambini nchini Morocco, watu wamekuwa wakihoji alipo Mukoko kutokana na kushindwa kuonekana kwenye picha za mazoezi ambazo mastaa wote wameonekana kasoro yeye.

 

Hofu kwa Wanayanga juu ya kiungo huyo imekuja baada ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo kwa dili la kusajiliwa na RS Berkane ya Morocco ambayo hivi karibuni imewasajili Tuisila Kisinda na Clatous Chama.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Mwakalebela alisema, Tonombe hakuonekani katika picha za pamoja za mazoezi yaliyofanyika juzi kutokana na kuuguza majeraha.

 

Mwakalebela alisema kuwa, kiungo huyo ana program maalum akiifanya na beki wa kati wa timu hiyo, Abdallah Shaibu ‘Ninja’.

 

“Wanayanga waondoe hofu juu ya mchezaji wao Tonombe, wafahamu kuwa bado ni mchezaji wetu na msimu ujao atakuwa sehemu ya wachezaji wa Yanga.

 

Tonombe kambini anaendelea na mazoezi kama kawaida, lakini yeye na mwenzake Ninja wana program maalum za mazoezi ya binafsi.“Hiyo ndiyo sababu ya wao kutoonekana katika picha za pamoja na wachezaji wenzao wakiendelea na mazoezini.

STORI NA WILBERT MOLANDI, DAR

The post Yanga yataja Alipo Mukoko appeared first on Global Publishers.



Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz