Yanga Yashusha Kocha Mwingine-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Yanga Yashusha Kocha Mwingine-Michezoni leo

WAKATI Yanga wakiendelea na mazoezi nchini Morocco, imebainika kuwa kuna kocha mwingine ameshushwa kumsaidia Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi.


Jina la kocha huyo limefichwa, lakini
uongozi umesisitiza kwamba, atakuwa msaidizi wa Nabi na tayari ameanza kazi ya kuwanoa nyota wa kikosi hicho wakiwa kambini nchini Morocco.

 

Kocha huyo amekuja Yanga baada ya kuwepo kwa taarifa za makocha waliokuwepo awali, Sghir Hammad, Jawab Sabri na Fareed Cassiem kumalizika mikataba yao.Mbali na kocha huyo, uongozi wa timu hiyo umefunguka kuwa na imani juu ya usajili ambao umefanywa hivi karibuni hasa kwenye safu ya ushambuliaji.

 

Yanga mpaka sasa imefanya usajili wa nyota 11 kwenye dirisha kubwa la usajili kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao.

Akizungumza na Spoti Xtra, Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela, alisema wanafurahishwa na mwenendo wa kikosi chao ambacho kinaendelea na mazoezi Morocco.

 

“Tunamshukuru Mungu wachezaji wanaendelea vizuri na mazoezi nchini Morocco na tuna imani zaidi na wachezaji ambao tumewasajili kwenye dirisha kubwa la usajili hivi karibuni.“Safu ya ushambuliaji mazoezini imeonekana kuwa bora kutokana na kufanya vizuri kwani wanafunga sana mabao.

 

“Tuna imani zaidi na safu ya ushambuliaji ambayo tumeisajili kwa ajili ya msimu ujao, tuna imani itakuwa tishio sana tofauti na ile ya msimu uliopita.“Wapenzi na mashabiki wa Yanga watarajie mazuri na makubwa kwani msimu ujao utakuwa mzuri zaidi kwa upande wetu,” alisema Mwakalebela.

STORI: MUSA MATEJA, DAR ES SALAAM

ASKOFU GWAJIMA KUJIELEZA MBELE YA BUNGE, MSIMAMO CHANJO CORONA | SOUL FOOD…

The post Yanga Yashusha Kocha Mwingine appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz