YANGA SC YAMUONGEZA SHIKHALO KIKOSI CHA KOMBE LA KAGAME BAADA YA KABWILI KULIMWA KADI NYEKUNDU -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

YANGA SC YAMUONGEZA SHIKHALO KIKOSI CHA KOMBE LA KAGAME BAADA YA KABWILI KULIMWA KADI NYEKUNDU -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
KIPA Mkenya, Farouk Shikalo ameongezwa kwenye kikosi cha Yanga kinachoshiriki michuano ya Kombe la Kagame na leo ataanza dhidi ya Atlabara.
Hiyo inafuatia Ramadhani Kabwili kutolewa kwa kadi nyekundu kwenye mechi ya kwanza dhidi ya Nyasa Big Bullets, hivyo timu kubaki na kipa mmoja, Godfrey Magaigwa ambaye ni wa kikosi cha vijana.
Mechi za pili za Kundi A Kombe la Kagame zinaanza leo kwa Express ya Uganda kumenyana na Nyasa Big Bullet ya Malawi Saa 10:00 jioni na Yanga dhidi ya Atlabara FC ya Sudan Kusini Saa 1:00 usiku Uwanja wa Benjamin Mkapa.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz