YANGA SC WASITISHA KAMBI MOROCCO, WANARUDI LEO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

YANGA SC WASITISHA KAMBI MOROCCO, WANARUDI LEO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 KIKOSI cha Yanga SC kimesitisha kambi yake nchini Morocco kwa sababu zisizozuilika na kinaondoka leo kurejea nchini kupitia Dubai.
Miongoni mwa sababu zilizotajwa ni idadi ya wachezaji kupungua baada ya baadhi yao kwenda kujiunga na timu zao za taifa kwa ajili ya mechi za kufuzu Kombe la Dunia mapema mwezi ujao.
Lakini pia inaelezwa kuna wachezaji wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona na hao hawatarejea leo watabaki karantini kwa wiki moja.

Yanga ilikuwa imeweka kambi Jijini Marrakech nchini Morocco tangu Agosti 16 kujiandaa na msimu mpya na ilitarajiwa kurejea nchini Agosti 27, lakini kwa dharula iliyowakuta wamelazimika kusitisha kambi hiyo na kurejea leo.
Bado haijafahamika wachezaji watakaobaki Morocco ni akina nani.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz