TORRES APIGA MBILI MAN CITY YAICHAPA ARSENAL 5-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TORRES APIGA MBILI MAN CITY YAICHAPA ARSENAL 5-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABINGWA watetezi, Manchester City wameendeleza 'mauaji' baada ya kuichapa Arsenal 5-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad, Manchester huo ukiwa ushindi wa pili katika mechi tatu, kufuatia kuchapwa 1-0 na Tottenham Hotspur na kushinda 5-0 dhidi ya Norwich City. 
Katika mchezo huo ambao Arsenal ilimaliza pungufu baada ya Nahodha wake, Granit Xhaka kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 35 kwa kumchezea rafu Joao Cancelo, mabao ya Man City yamefungwa na Ilkay Gundogan dakika ya saba, Ferran Torres dakika ya 12 na 84, Gabriel Jesus dakika ya 43 na Rodri dakika ya 53.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz