THIBAUT COURTOIS ASAINI MKATABA MPYA REAL MADRID HADI 2026 -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

THIBAUT COURTOIS ASAINI MKATABA MPYA REAL MADRID HADI 2026 -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

KIPA Mbelgiji wa Real Madrid, Thibaut Courtois amesaini mkataba mpya wa kuendelea kupiga kazi Bernabeu hadi mwaka 2026 atakapofikisha umri wa miaka 34.
Alijiunga na Real mwaka 2018 akitokea Chelsea na tangu amewasili ameshinda mataji ya La Liga, Spanish Super Cup msimu wa 2019-20. 
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz