TFF YATANGAZA TENDA YA KURUSHA LIVE MECHI YA NGAO YA JAMII KWENYE REDIO NA TELEVISHENI SEPTEMBA 25 DAR-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TFF YATANGAZA TENDA YA KURUSHA LIVE MECHI YA NGAO YA JAMII KWENYE REDIO NA TELEVISHENI SEPTEMBA 25 DAR-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetangaza tenda ya kurusha matangazo moja kwa moja mechi ya Ngao ya Jamii baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga mwezi ujao.
Mechi hiyo ya kuashiria upenuzi wa pazia la msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022 itachezwa Jumamosi ya Septemba 25, mwaka huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Mechi ya Ngao ya Jamii hukutanisha bingwa wa Ligi Kuu ya na Mshindi wa Kombe la TFF, maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), mataji ambayo yote yalichukuliwa na Simba msimu uliopita.
Lakini kwa sababu Yanga ndio waliomaliza nafasi ya pili Ligi Kuu pia ndio walicheza na Simba fainali ya ASFC Julai 25 na kufungwa 1-0 mjini Kigoma ndio maana watawania Ngao ya Jamii dhidi ya watani wao wa jadi.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz