TANZANIA PRISONS YATANGAZA KUACHANA NA WACHEZAJI WAKE 16 KWA SABABU TOFAUTI KUELEKEA MSIMU MPYA WA LIGI KUU BARA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TANZANIA PRISONS YATANGAZA KUACHANA NA WACHEZAJI WAKE 16 KWA SABABU TOFAUTI KUELEKEA MSIMU MPYA WA LIGI KUU BARA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
KLABU ya Tanzania Prisons imetangaza kuachana na wachezaji wake 16 waliomaliza mikataba.
Taarifa ya Prisons imesema kwamba, kati ya hao kuna ambao klabu imefikia uamuzi wa kutowaongeza mikataba ya kuendelea nao msimu ujao na wengine wameamua kuondoka kwenda klabu nyingine.
Hao ni makipa Jeremiah Kisubi, Andrew Ntala na Prosper Kaini, mabeki Shaban William, Steven Mwaijala, Nico Mwaipaja, Suleiman Mangoma na winga Hamidu Mohamed.


Wengine ni viungo  Francis Joel, Salumu Bosco, Ramadhan Ibata  na washambuliaji Kassim Mdoe, Stamili Mbonde, Gasper Mwaipasi na Kennedy Kipepe.
Aidha, uongozi wa Tanzania Prisons upo kwenye mazungumzo na Adili Buha, Shadrack Thomas na Mohamed  Mkopi juu ya mikataba mpya.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz