Simba Yawapiga Bao Wazungu-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Simba Yawapiga Bao Wazungu-Michezoni leo

WAKATI Simba SC wiki chache zilizopita ikikamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Peter Banda raia wa Malawi, imebainika kwamba, nyota huyo alikuwa na ofa kutoka Hispania na England.


Banda amejiunga na Simba
kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Nyasa Big Bullets ya kwao ambapo kabla ya hapo, alikuwa akicheza kwa mkopo, Sheriff Tiraspol ya Moldova.

 

Kaimu Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari ya Simba, Ezekiel Kamwaga, alisema: “Kwanza nitoe pongezi kwa kamati yetu ya usajili kwa kazi kubwa na yenye weledi ambayo wameifanya mpaka sasa.

 

“Kumpata mchezaji kama Banda ambaye kwao ni miongoni mwa wachezaji bora zaidi kiasi kwamba mpaka baadhi ya waandishi wa Malawi wamekuwa wakihoji, inawezekanaje Simba kumshawishi na kumsajili wakati wao wanajua alikuwa na nafasi ya kwenda Hispania au England kutokana na ofa alizokuwa nazo.

 

“Hili pia limetokea kwa kiungo mshambuliaji, Pape Ousmane Sakho ambaye kwao ndiye mchezaji bora zaidi kijana. pamoja na wachezaji wengine waliosajiliwa.

 

“Kuna watu wanauliza kwa nini tumesajili wachezaji wengi, lakini niwaambie hatujakurupuka bali tumesajili kuendana na mapendekezo ya mwalimu.”

JOEL THOMAS, Dar es Salaam

The post Simba Yawapiga Bao Wazungu appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz