Simba Yamaliza Shughuli ya Morocco, Yarejea Bongo-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Simba Yamaliza Shughuli ya Morocco, Yarejea Bongo-Michezoni leo

Kikosi cha TImu ya Simba kimemaliza salama sehemu ya kwanza ya maandalizi kuelekea msimu ujao waliyokuwa wakifanya katika kambi yao waliyokuwa wameweka nchini Morocco.

 

Kikosi chote kitaondoka nchini humo leo Jumamosi kurejea Tanzania ambapo watawasili kesho kuendelea na maandalizi ya pili ya msimu.

 

Awamu ya pili ya Pre-Season itaanza baada ya kurejea kwa wachezaji wetu ambao wapo kwenye timu za taifa, na Simba imesema itatoa taarifa kambi itafanyika sehemu gani.

The post Simba Yamaliza Shughuli ya Morocco, Yarejea Bongo appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz