SIMBA SC YATOA SARE YA 2-2 NA WENYEJI FAR RABAT KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI KWENYE KAMBI YAO YA MOROCCO LEO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

SIMBA SC YATOA SARE YA 2-2 NA WENYEJI FAR RABAT KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI KWENYE KAMBI YAO YA MOROCCO LEO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 MABINGWA wa Tanzania, Simba SC leo wametoa sare ya 2-2 na wenyeji, FAR Rabat katika mchezo wa kirafiki leo Jijini Rabat nchini Morocco.
Mabao ya Simba yamefungwa na viungo Hassan Dilunga dakika ya 54 na Papa Msenegal Ousmane Sakho dakika ya 81 baada ya FAR Rabat kutangulia kwa mabao ya Mohsinne Abba dakika ya 14 na ya 26.
Simba SC imeweka kambi Rabat kwa zaidi ya wiki sasa ikijiandaa na msimu mpya, lengo lao kuendeleza mafanikio yao yaliyodumu kwa misimu minne iliyopita.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz